Loader Jobs – Nafasi 6 at Fastlink Agri-Business
Loader Jobs – Nafasi 6 at Fastlink Agri-Business
Position: Mpakizi/Mshushaji (Loader) – 6 Positions
Work Station: Kigoma, Tanzania
Deadline: 16 September 2026
About the Job
Fastlink Agri-Business is looking for hardworking and physically fit candidates to fill six (6) Loader positions based in Kigoma.
The successful applicants will be responsible for loading and offloading agricultural products, sacks and other goods, as well as supporting general warehouse and production activities.
Sifa za Mwombaji – Qualifications
Applicants should meet the following basic requirements:
- Awe na afya njema na uwezo wa kufanya kazi zinazohitaji nguvu za mwili.
- Awe tayari kufanya kazi za loading, unloading and warehouse handling.
- Awe na uwezo wa kufuata maelekezo ya msimamizi na safety procedures.
- Awe mwaminifu, mwenye bidii na anayezingatia utunzaji wa bidhaa.
Majukumu Makuu – Key Responsibilities
The selected candidates will be expected to:
- Kupakia na kushusha (load and offload) nafaka, magunia na bidhaa mbalimbali kutoka kwenye malori na maghala.
- Kubeba, kupanga na kuhifadhi magunia pamoja na bidhaa nyingine kwa mpangilio mzuri ndani ya warehouse.
- Kusaidia machine operators katika kuhamisha bidhaa wakati wa uzalishaji.
- Kuhakikisha usafi na mpangilio mzuri katika maeneo ya kazi, warehouse na loading areas.
- Kushughulikia bidhaa kwa uangalifu ili kuzuia damage, wastage and unnecessary losses.
- Kufanya kazi kwa kuzingatia health and safety procedures wakati wote.
- Kufanya majukumu mengine yanayohusiana na kazi kama atakavyoelekezwa na supervisor.
How to Apply – Jinsi ya Kutuma Maombi
Waombaji wenye nia na sifa wanatakiwa kuwasilisha application letter, detailed CV pamoja na copies za vyeti husika.
Applications zinaweza kutumwa kwa email au kufikishwa/kutumwa moja kwa moja kwenye anwani ifuatayo:
Email: elizabeth@fastlinksafaris.co.tz
Fastlink Safaris & Tours Ltd
Lumumba Road
P.O. Box 750
Kigoma, Tanzania
Application Deadline
16 September 2026
Note: Only shortlisted candidates will be contacted.
Equal Opportunity: Fastlink Agri-Business is an equal opportunity employer and encourages qualified candidates to apply.

Post a Comment